Kiromania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 124 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7913 (translate me)
+viungo vya nje
Mstari 8:
== Wasemaji ==
Katika [[Romania]] penye wakazi milioni 22 zaidi ya milioni 19 hutumia Kiromania kama lugha ya mama. Nchini [[Moldova]] penye wakazi 4.5 karibu milioni 4 husema Kiromania inayoitwa huko "Kimoldova" lakini ni lugha ileile. Kuna pia waesamji katika nchi jirani hasa [[Serbia]], [[Ukraine]], [[Urusi]] ([[Siberia]]), [[Bulgaria]] na [[Hungaria]]. Waromania waliohamia huendelea kutumia lugha huko [[Marekani]], [[Kanada]], [[Australia]], [[Israel]] au [[Uturuki]]. Baada ya mwisho wa ukomnisti waromania wengi wametafuta kazi na kukaa [[Hispania]] na [[Italia]].
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.language-archives.org/language/ron makala za OLAC kuhusu Kiromania]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/roma1327 lugha ya Kiromania katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/ron
 
{{mbegu-lugha}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Romania]]
[[Jamii:Lugha za Kirumi]]
[[Jamii:Lugha za Ulaya]]
 
{{Link FA|ro}}
{{Link FA|hu}}