Kioksitania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14185 (translate me)
+viungo vya nje
Mstari 28:
Kabla ya wakati huu, uandikaji ulirekebishwa (1982) kwa njia ambayo ilimaanisha kukubali na kuonyesha wazi kwamba Aranese ndiyo lahaja ya Occitan; na matumizi yake shuleni yalianza mwaka 1984. Siku za leo Aranese ni lugha ya serikali, ya elimu, na ya waandishi (wa habari na wa vitabu). Njia ya upotevu wa Occitan kwa kuweka Kifaransa badala yake, ambayo inatukia Ufaransa, haijageuza lahaja ya Aranese, iliyo na nguvu na maisha mazuri, pamoja na mikusanyiko ya watu wa vyama fulani wanaoihifadhi. Hata hivyo, hali yake nzuri haijaimarishwa kabisa na ina hatari na kuingia katika njia ya upotevu kwa sababu ya Kihespanyola na Kikatalani, lugha ambazo zinajulikana na watu wengi wa bonde la Aran na ambazo zinazungumzwa na baadhi kubwa ya watalii na wahamiaji wanaofika pale kila mwaka.
 
==Viungo Referencesvya nje==
*[http://www.language-archives.org/language/oci makala za OLAC kuhusu Kioksitania]
<references/>
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/occi1239 lugha ya Kioksitania katika Glottolog]
<!-- interwiki -->
*http://www.ethnologue.com/language/oci
 
{{DEFAULTSORT:Oksitania}}