Muungo metali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 38 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q191390 (translate me)
typo
Mstari 1:
[[Image:Metallic bond Cu.svg|thumb|right|200px|Muungo au mbabadi metali hupatikana katika metali kama [[kupri]] kutokana na kani kati ya elektroni huria yenye chaji ya hasi na viini vya atomi vyenye chaji ya chanja.]]
 
'''Muungo metali''' (pia: '''mbabadi metali''') ni namna jinsi [[atomi]] za [[metali]] zinavyoskikanazinavyoshikana. Kani hii yatokana na [[elektroni]] huria zinazotembea kati ya atomi na kuvutwa na [[ioni]] za kiini.
 
Kwa metali elektroni za [[mzingo elektroni]] wa nje hazishikwa sana na kiini hivyo ni rahisi kuachana na atomi asilia na kuzunguka katika metali yote. Viini vya atomi vyenye chaji ya chanja vinajipanga katika mfumo maalumu unaofanana na [[fuwele]]. Elektroni zazunguka katika mfumo huu kama wingu.