Isotopi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 31:
*Kaboni ya kawaida (ambayo ni 98.89% ya kaboni yote duniani) huwa na kiini chenye protoni 6 na nyutroni 6, idadi ya elktroni si 6 pia sawa na idadi ya protoni. Inaitwa C-12 maana isotopi hii ina [[uzani atomia]] 12 (protoni 6 + nyutroni 6).
*Kuna isotopi thabiti ya pili inayoitwa C-13 kwa sababu ina protoni 6 na nyutroni 7, jumla 13. Isotopi ya C-13 ni takriban asilimia 1.1 ya kaboni yote duniani.
*Isotopi ya tatu ni C-14 yenye protoni 6 na nyutroni 8. C-14 si thabiti ni nururifu. Kiwango chake ni kidogo sana na C-14 inatokea katika tabaka za juu za [[angahewa]] kama atomi ya [[nitrojeni]] (N) inagongwa na nyutroni ya mnururisho wa angani na kuipokea katika kiini chake. Lakini hali hii si thabiti na atomi za C-14 zinarudi polepole kuwa isotopi thabiti ya N-14 (nitrojeni) kwa kuachana na elektroni 1 na electroni antineutrino. C-14 inaungana haraka na oksijeni kuwa CO<sup>2</sup> nururifu inayoingia katika mimea yote kwa kiasi kidogo. Ilhali [[nusumaisha]] ya C-14 inajulikana ni miaka 5,730±40. Hii inaruhusu kupima umri wa masalio ya mimea hadi umri wa miaka 60,000. Upimaji huu ni usaidizi muhimu katika fani ya [[akiolojia]].