Mzee : Tofauti kati ya masahihisho

92 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Katika jamii zilizopangwa kwa [[rika]] (vikundi kulingana na umri) kama Wamasai au [[Wazulu]] rika ya wazee inapaswa kusikilizwa katika maazimio yanayohusu jamii yote.
 
Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa wadhaifu ugumu unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatafurihawatajali tena ushauri wao. Tatizo hili ni tofauti kati ya tamaduni za kimila ambako watu wadhaifu hawaishi muda mrefu sana kutokana na uhaba wa nafasi za tiba upande mmoja na tamaduni zilizoendelea ambako nafasi aza tiba zinawezesha watu wengi kufikia umri mkubwa ambako asilimia inaanza kupoteza akili au uwezo wote wa kutembea kwa miaka mfululizo. <ref>[http://faculty.usfsp.edu/jsokolov/webbook/fry.pdf Culture and the Meaning of a Good Old Age]</ref> Kama idadi ya wazee wadhaifu mno inazidi ni vigumu kuendelea na hoja la heshima kwa wazee.
 
==Mzee katika tamaduni mbalimbali==
Anonymous user