DNA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:DNA orbit animated small.gif|thumb|right|Mfano wa mfumo wa DNA]]
'''DNA''' ni kifupi cha '''DeoxyriboNucleic Acid''' (Deoksiriboasidi Nyuklia) ambayo ni [[jina]] la [[molekuli]] kubwa ndani ya [[seli]] za [[viumbehai]] pamoja na [[wanyama]], [[mimea]], [[bakteria]] na [[virusi]]. Inabeba ndani yake habari zote za [[urithi]] wa kiumbehai yaani habari za [[tabia]] zote zinazopokelewa nakutoka kwa [[wazazi]]. Kwenye DNA ziko [[jeni]] zinazotunza habari maalumu juu ya urithi wa kiumbe.
 
Molekuli ya DNA ina [[umbo]] kama ngazi mbili za kupanda zilizounganishwa pamoja na kupindwa kama [[sukurubu]]. Kila ngazi ni [[nukleotidi]] ambayo ni muungo wa [[sukari]] fulani pamoja na moja kati ya [[besi]] ogania nne. Ufutano wa besi hizi unaamua namna gani kujenga [[protini]] wakati wa kujenga seli mpya.
 
DNA ina uwezo wa kujinakili. Wakati wa kuzaa DNA inajipasua katikati ya pande mbili za "ngazi" yake. Hivyo nusu "ngazi" ya upande wa mzazi mmoja inaungana na nusu "ngazi" ya mzazi mwingine.

Tabia kama [[ukubwa]], [[rangi]] ya [[ngozi]] au [[nywele]] ziko kila moja mahali pake; zikiunganishwa za [[baba]] na [[mama]], [[kemia]] inaamua ni upande gani yenyewenye [[athira]] zaidi na hivyo utajitokeza kwa mtoto.
 
DNA inatokea hasa ndani ya [[kromosomu]] kwenye [[kiini cha seli]].
Line 11 ⟶ 13:
* http://www.ornl.gov/sci/techresources/Human_Genome/project/info.shtml
 
[[Jamii:Jenetikia]]
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Kifupi]]
 
{{Link FA|ca}}
{{Link FA|cs}}
{{Link FA|de}}
{{Link FA|en}}
{{Link FA|es}}
{{Link FA|eu}}
{{Link FA|pt}}
{{Link FA|ru}}
{{Link FA|tr}}
{{Link FA|uk}}
{{Link FA|zh}}