DNA : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Sahihisho la jina kwa Kiswahili
Mstari 1:
[[Picha:DNA orbit animated small.gif|thumb|right|Mfano wa mfumo wa DNA]]
'''DNA''' ni kifupi cha '''DeoxyriboNucleic Acid''' (Deoksiriboasidikwa Nyuklia[[Kiswahili]]: Asidi DeoksiriboNukleini au [[ADN]]) ambayo ni [[jina]] la [[molekuli]] kubwa ndani ya [[seli]] za [[viumbehai]] pamoja na [[wanyama]], [[mimea]], [[bakteria]] na [[virusi]]. Inabeba ndani yake habari zote za [[urithi]] wa kiumbehai yaani habari za [[tabia]] zote zinazopokelewa kutoka kwa [[wazazi]]. Kwenye DNA ziko [[jeni]] zinazotunza habari maalumu juu ya urithi wa kiumbe.
 
Molekuli ya DNA ina [[umbo]] kama ngazi mbili za kupanda zilizounganishwa pamoja na kupindwa kama [[sukurubu]]. Kila ngazi ni [[nukleotidi]] ambayo ni muungo wa [[sukari]] fulani pamoja na moja kati ya [[besi]] ogania nne. Ufutano wa besi hizi unaamua namna gani kujenga [[protini]] wakati wa kujenga seli mpya.