Tofauti kati ya marekesbisho "Mzee"

1,216 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
 
[[Image:Georgischer Priester.jpg|thumb|[[Padri]] wa [[Waorthodoksi|Kiorthodoksi]], [[Mtskheta]], [[Georgia (nchi)|Georgia]].]]
'''Mzee''' ni [[mtu]] aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.
 
==Mzee katika tamaduni mbalimbali==
[[Matumizi]] ya kulingana ya maneno yenye maana ya "mzee" yanapatikana kwa [[lugha]] mbalimbali:
* "[[Senatisenati]]" katika mfumo wa kisiasaki[[siasa]] wa nchi mbalimbali ni kitengo cha [[bunge]]. Neno linatokana na lugha ya [[Kilatini]] "senatus" ambalo kiasili lilitaja "mkutano wa wazee". Katika Kilatini chenyewe neno linatokana na "Senex" yaani mtu mwenye umri mkubwa.
* neno '''"[[sheikh]]'''" (‏شيخ‎) kwa [[Kiarabu]] kiasili linamtaja mtu mwenye umri wa juu; leo imekuwa neno la kutaja watawala, wakuu wa [[kabila]] fulani au pia viongozi wa ma[[kundi]] ya ki[[dini]] ya [[Uislamu|Kiislamu]].
* "[[Senati]]" katika mfumo wa kisiasa wa nchi mbalimbali ni kitengo cha [[bunge]]. Neno linatokana na lugha ya [[Kilatini]] "senatus" ambalo kiasili lilitaja "mkutano wa wazee". Katika Kilatini chenyewe neno linatokana na "Senex" yaani mtu mwenye umri mkubwa.
* neno "[[kuhani]]" katika lugha nyingi (kwa mfano "priest" kwa [[Kiingereza]]) linatokana na lile la [[Kigiriki]] πρεσβύτερος, presbýteros, lenye maana asili ya "mzee".
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Marejeo==
*Bishop, Jonathan. Examining the Concepts, Issues, and Implications of Internet Trolling. IGI Global. Hershey, PA. 2013.
*[[Jean Shinoda Bolen|Bolen, Jean Shinoda]] Crones Don’t Whine. Conari Press. Boston. 2003.
*Gutmann, David. Reclaimed Powers. Northwestern U. Press. Evanston, Ill.1994
*Dass, Ram. Still Here.Embracing Aging, Changing, and Dying .Riverhead Books.New York. 2001.
*Jones, Terry. Elder: A spiritual alternative to being elderly. Elderhood Institute. 2006.
*Jones, Terry. The Elder Within: Source of Mature Masculinity. Elderhood Institute. 2001.
*Leder, Drew. Spiritual Passages. Jeremy P. Tarcher/Putnam. New York. 1997.
*Levinson, Daniel J. The Seasons of a Man’s Life. Ballantine Books. NY. 1978.
*Raines, Robert. A Time to Live. Seven Steps in Creative Aging. A Plume Book. New York. 1997.
*Schachter-Shalomi, Zalman. Ageing to Sageing. Warner Books. N.Y. 1995.
 
{{mbegu}}
 
[[Jamii:Cheo]]