Uislamu barani Ulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Islam in Europe by country}} '''Uislamu''' ulianza kushika hatamu katika bara la '''Ulaya''' mnamo mwaka wa 711 na ushindi wa Umayyad wa Hispani...'
 
No edit summary
Mstari 1:
{{Islam in Europe by country}}
'''[[Uislamu]]''' ulianza kushika [[hatamu]] katika [[bara]] la '''[[Ulaya]]''' mnamo mwaka wa [[711]] kutokana na [[ushindi]] wa [[Umayyad]] wa [[Hispania]]. Waliendelea hadi huko [[Ufaransa]] lakini mnamomwaka [[732]], walishindwa na [[Wafaranki|Wafranki]] katika [[Mapigano ya Tours na Poitiers|Mapigano ya Tours]]. Kadiri karne zinavyoenda Waumayyad walikuwa wanakimbizwa kusini polepole na mnamo 1492 Wamoor wa [[Imarati ya Granada]] walivyo salimamri kwa Watawala Wakuu wa Katoliki - Ferdinand V na Isabella. Raia wa Kiislamu walifukuzwa nchini Hispania na ilipofika 1614 hakuna aliyesalia.<Ref>[http://www.historytoday.com/roger-boase/muslim-expulsion-spain The Muslim Expulsion from Spain]| Historytoday.com </ref>
 
Kadiri [[karne]] zilivyoenda [[Waumayyad]] walikuwa wanakimbizwa [[kusini]] polepole na mnamo [[1492]] [[Wamoor]] wa [[Imarati ya Granada]] walisalimu amri kwa Watawala Wakuu wa [[Kanisa Katoliki|Kikatoliki]] - [[Ferdinando V]] na [[Isabella]]. [[Raia]] wa Kiislamu walifukuzwa nchini Hispania na ulipofika mwaka [[1614]] hakuna aliyesalia.<Ref>[http://www.historytoday.com/roger-boase/muslim-expulsion-spain The Muslim Expulsion from Spain]| Historytoday.com </ref>
Uislamu uliingia Mashariki na Kusinimashariki mwa Ulaya katika sehemu ambazo sasa ni [[Urusi]] na [[Bulgaria]] katika karne ya 13. [[Milki ya Osmani|Dola la Ottoman]] lilienea huko Ulaya na kuchukua nafasi za [[Ufalme wa Byzanti]] katika karne ya 14 na 15. Kadiri karne zinavyoenda, Milki ya Ottoman nayo inapoteza karibia maeneo yake yote ya Ulaya, hadi hapo ilipoanguka rasmi mnamo 1922. Hata hivyo, sehemu za Balkans (kama vile [[Albania]], [[Kosovo]], [[Jamhuri ya Macedonia|Macedonia]] na [[Bosnia]]) ziliendelea na kuwa na idadi kubwa ya Waislamu.
 
Uislamu uliingia Mashariki na Kusinimashariki mwa Ulaya katika sehemu ambazo sasa ni [[Urusi]] na [[Bulgaria]] katika [[karne ya 13]]. [[Milki ya Osmani|Dola la Ottoman]] lilienea huko Ulaya na kuchukua nafasi za [[Ufalme wa Byzanti]] katika [[karne ya 14 na 15. Kadiri karne zinavyoenda, Milki ya Ottoman nayo inapoteza karibia maeneo yake yote ya Ulaya, hadi hapo ilipoanguka rasmi mnamo 1922. Hata hivyo, sehemu za Balkans (kama vile [[Albania]], [[Kosovo]],na [[JamhuriKarne ya Macedonia15|Macedonia15]] na [[Bosnia]]) ziliendelea na kuwa na idadi kubwa ya Waislamu.
Mwisho mwa karne ya 20 na mwanzoni mwa karne ya 21 idadi kubwa ya Waislamu walihamia barani Ulaya. Kunako mwaka wa 2010 ilikadiriwa kuwa Waislamu wamefikia milioni 44 wanaoishi Ulaya.
 
Kadiri karne zilivyoenda, Milki ya Osmani nayo ilipoteza karibia maeneo yake yote ya Ulaya, hadi hapo ilipoanguka rasmi mnamo [[1922]]. Hata hivyo, sehemu za [[Balkans]] (kama vile [[Albania]], [[Kosovo]], na [[Bosnia]]) ziliendelea kuwa na idadi kubwa ya Waislamu.
 
Mwisho mwa [[karne ya 20]] na mwanzoni mwa [[karne ya 21]] idadi kubwa ya Waislamu walihamia barani Ulaya. Kunako mwaka wa [[2010]] ilikadiriwa kuwa Waislamu wanaoishi Ulaya wamefikia [[milioni]] 44 wanaoishi Ulaya.
 
==Historia==
 
==Tazama pia==
{{Islam by country}}
Line 13 ⟶ 18:
* [[Uislamu kwa nchi]]
* [[Utamaduni wa Kiislamu]]
 
==Marejeo==
{{reflist}}
Line 19 ⟶ 25:
* {{cite book| last = Ghodsee| first = Kristen| title = Muslim Lives in Eastern Europe: Gender, Ethnicity and the Transformation of Islam in Postsocialist Bulgaria| year = 2009| publisher = Princeton University Press| location = Princeton| isbn = 978-0-691-13955-5| url = http://press.princeton.edu/titles/9068.html}}
 
==Viungo vya Njenje==
* [http://ssrn.com/abstract=1574982 For Muslim Minorities, it is Possible to Endorse Political Liberalism, But This is not Enough]
* [http://news.bbc.co.uk/2/hi/in_depth/europe/2005/muslims_in_europe/ BBC News: Muslims in Europe]
Line 29 ⟶ 35:
* [[Hans Köchler|Köchler, Hans]], ''[http://hanskoechler.com/ice.htm Muslim-Christian Ties in Europe: Past, Present and Future]'', 1996
* {{cite web |url= http://www.nypl.org/blog/2011/12/15/islam-europe-resource-guide |publisher= [[New York Public Library]] |location=USA |year=2011 |title=Islam in Europe: A Resource Guide }}
 
{{Islam in Europe}}
{{European Muslims}}
 
{{DEFAULTSORT:Uislamu barani Ulaya}}
 
[[Jamii:Uislamu kwa nchi|Ulaya]]
[[Jamii:Uislamu kwa bara]]