Murasaki Shikibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 34:
'''Murasaki Shikibu''' ([[Kyoto]] [[978]] – [[1025]]) alikuwa [[mwanamke]][[mwandishi]] na [[mshairi]] kutoka nchi ya [[Japani]].
 
Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] yake ''Genji Monogatari'' ([[Hekaya ya Genji]]) iliyotolewa mwaka [[1008]].
 
Murasaki Shikibu ni kati ya waandishi wa kwanza wa kike katika [[historia ya fasihi]] ya Japani. [[Baba]] yake, Fujiwara no Tametoki, alikuwa pia mshairi.