Johannes Gutenberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Gutenberg Bible.jpg|thumb|175px|Biblia iliyochapwa na Gutenberg mwaka [[1455]] hivi.]]
[[Picha:Printer in 1568-ce.png|thumb|175px|Wachapishaji wa karne ya 16]]
'''Johannes Gensfleisch zur Laden zum Gutenberg''', anayejulikana kifupi kama '''Johannes Gutenberg''', (mnamo [[1398]] - [[3 Februari]] [[1468]]) alikuwa [[fundi dhahabu]] na [[mvumbuzi]] kutoka [[Ujerumani]] anayekumbukwa hasa kama mbuni wa [[uchapishajiuchapaji vitabu]] kwa [[herufi za kusogezeka]].
 
Alitengeneza [[mashine]] ya kwanza ya kuchapa vitabu, alibuni [[aloi]] ya kufaa kwa [[herufi]] alizotumia katika mashine hii pamoja na [[wino]].