Msikiti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 946647 lililoandikwa na 54.209.248.238 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Supplicating Pilgrim at Masjid Al Haram. Mecca, Saudi Arabia.jpg|thumb|[[Masjid al-Haram]] huko [[Maka]], [[Saudia]], ndio msikiti muhimu zadi katika Uislamu.]]
'''Msikiti''' ni [[mahali]] pa [[ibada]] kwa waumini wa [[dini]] ya [[Uislamu]].
'''Msikiti''' ni [[mahali]] pa [[ibada]] kwa waumini wa [[dini]] ya [[Uislamu]], ambapo [[lengo]] kuu ni kutekeleza [[wajibu]] wa [[sala]] chini ya [[imamu]]. Hata hivyo ukumbi unaweza kutumika pia kwa kuelimishana na kujadiliana, kama ilivyokuwa kwa ma[[sinagogi]] ya [[Wayahudi]].
 
Waislamu wengi mara nyingi huita msikiti kwa kutumia [[jina]] la [[Kiarabu]], ambalo ni ''masjid'' - مسجد — inatamkwa [ˈmæsʤɪd] (tamkawingi wake ni: masajid kwa [[Kiarabu]]: مساجد — inatamkwa /mæˈsæːʤɪd/).
 
Kutoka [[Uarabuni]] misikiti imeenea [[dunia]]ni kote, ikiunganishwa mara nyingine na [[Mnara|minara]].
 
Baadhi yake inatumia [[sanaa]] ya hali ya juu.
 
== Viungo vya Nje ==
Line 33 ⟶ 38:
 
[[Jamii:Msikiti]]
[[Jamii:Usanifu majengo]]
[[Jamii:Uislamu]]