Kiaramu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 76 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q28602 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kiaramu''' ni mojawapo kati ya [[lugha za Kisemiti]] ambazo zinapangwa kati ya [[lugha za Afrika-Asia]] pamoja na [[Kiebrania]] na nyinginezo.
 
Inatumika tangu miaka 3,000 iliyopita. Ndiyo [[lugha]] aliyoitumia [[Yesu]] pamoja na [[Wayahudi]] wengi wa wakati wake.
 
Sehemu chache za [[Biblia]] ziliandikwa kwa lugha hiyo wakati ilipokuwa imeenea zaidi kwenye [[Mashariki ya Kati]], kabla haijashindwa na [[Kigiriki]] kwanza, na [[Kiarabu]] baadaye.
 
Hata hivyo watu 445,000 hivi wanaitumia hata leo, hasa nchini [[Syria]], [[Iraq]] na [[Uturuki]].
 
=== Viungo vya nje ===
 
=== Viungo vya nje ===
* {{en}} [http://www.ethnologue.org/show_family.asp?subid=950]
* {{en}} [http://cal1.cn.huc.edu/index.html Comprehensive Aramaic Lexicon] — ya Hebrew Union College, Cincinnati
Line 16 ⟶ 15:
 
{{DEFAULTSORT:Aramu}}
[[Jamii:Lugha za Asia]]
{{Link FA|ms}}