Mzunguko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 71 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4130 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Orbital motion.gif|thumb|200px|Obiti ya gimba dogo (kama satelaiti) linalozunguka gimba kubwa (kama dunia); <br>kani ya velositi inataka kulipeleka mbele mbali na mahali pake; kani ya graviti inalivuta kuelekea gimba kubwa; tokeo lake ni obiti ya kuzunguka.]]
[[Picha:Newton Cannon.svg|300px|thumbnail|Mfano wa "Mzinga wa Newton"]]
'''Obiti''' ([[ing.]] '''orbit'''; ''kutoka [[lat.]] orbita "njia, mzunguko"''; pia: '''njia mzingo''') ni njia inayotumiwa na [[gimba la angani]] linalozunguka gimba kubwa zaidi katika anga la ulimwengu ilhali inashikwa na [[graviti]]. Mfano wake ni mwendo wa [[sayari]] inayozunguka [[jua]], au [[mwezi]] unaozunguka [[sayari]] yake, au [[satelaiti]] inayozunguka [[dunia]].
 
==Uwiano wa kani katika obiti==