Bernard Katz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: left|80px '''Bernard Katz''' (amezaliwa 26 Machi, 1911) ni mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Hitler alihamia [[Uinger...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Bernard Katz''' (amezaliwa [[26 Machi]], [[1911]] – [[20 Aprili]], [[2003]]) nialikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Wakati wa utawala wa [[Hitler]] alihamia [[Uingereza]]. Hasa alichunguza [[neva]]. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa [[1969]]. Mwaka wa [[1970]], pamoja na [[Ulf von Euler]] na [[Julius Axelrod]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Tiba]]'''.
 
{{DEFAULTSORT:Katz, Bernard}}
[[Category:Waliozaliwa 1911]]
[[Category:Waliofariki 2003]]
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani]]
[[Category:Wanasayansi wa Uingereza]]