Adamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ru}} using AWB (10903)
Mstari 2:
[[Image:Formella 01, la creazione di Adamo, andrea pisano 1134-1136.JPG|thumb|left|250px|''Uuumbaji wa Adamu'' kadiri ya [[Andrea Pisano]], [[1334]]-[[1336]]]]
 
'''Adamu''' (kwa [[Kiebrania]]: אָדָםאָדָם maana yake ''mtu'', ''mtu wa udongo'', ''chaudongo'', au ''wa udongo mwekundu'') ni jina analopewa mtu wa kwanza katika [[Biblia]]. Anatajwa na [[Kurani]] pia.
 
Kadiri ya [[kitabu]] cha [[Mwanzo (Biblia)|Mwanzo]], alizaliana na [[mke]] wake [[Eva]] watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa [[binadamu]]; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe [[Kaini]], [[Abeli]] na [[Seti]].
Mstari 22:
[[Category:Watu wa Kurani]]
[[Jamii:Manabii katika Uislamu]]
{{Link FA|ru}}