Kikingaradi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Mfumo wa kikingaradi '''Kikingaradi''' ni kifaa kinachofungiwa juu ya nyumba, minara au majengo marefu mengine. Kwa kawa...'
 
No edit summary
Mstari 11:
 
=== Historia ===
[[File:Statue auf dem Bayerischen Landtag 3427.JPG|thumb|right|Nyaya za kikingaradi kwenye sanamu ya mapambo iliyopo juu ya bunge la Bavaria]]
[[File:Pointed Lightning Rod.jpg|thumb|right|Kikingaradi juu ya paa ya nyumba]]
Mnamo katikati ya karne ya 18 wataalamu katika Ulaya na Marekani walianza kuelewa tabia za umeme. Walianza kuhisi ya kwamba uhusiano ulikuwepo baina ya umeme na radi. Mnamo 1750 [[Benjamin Franklin]] huko [[Pennsylvania]], Marekani<ref>wakati ule ilikuwa bado koloni ya Uingereza hadi vita ya uhuru tangu 1776</ref> aliandika juu ya radi kuwa umeme akapendekeza kuithebitisha kwa kupandisha [[kishada]] wakati wa ngurumo na kuona umeme kwenye kamba yake ya kushikilia. Kutokana na majaribio haya alibuni pia kikingaradi kilichowekwa mara ya kwanza kwenye nyumba yake mwenyewe, halafu mwaka 1752 kwenye ikulu ya Pennsylvania.