Tofauti kati ya marekesbisho "Visa vya Esopo"

112 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
+tif
d (Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q865902 (translate me))
(+tif)
 
[[Image:Aesopus - Aesopus moralisatus, circa 1485 - 2950804 Scan00010.tif|thumb|''Aesopus moralisatus'', 1485]]
'''Visa vya Esopo''' vinatokana na masimulizi ya Esopo, ambaye inaaminika kuwa alikuwa ni [[mtumwa]] wa Kiafrika aliyeishi kati ya mwaka 620 na 560 [[Kabla ya Kristo]] katika [[Ugiriki wa Zamani]]. Visa vyake hutumiwa kutoa mafunzo na kuburudisha. Visa hivi hutumiwa kwa wingi katika vitabu vya watoto na vikaragosi.