Kiumbehai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ kiungo
Mstari 2:
[[Picha:Elephant-ear-sponge.jpg|thumb|150px|Sifongo ya baharini ni mfano wa viumbehai katika kundi la eukariota]]
 
'''Kiumbehai''' ni kitu ambacho ni hai kama vile [[mtu]], [[mnyama]], [[mmea]] au [[bakteria]]. Kwa upande mmoja viumbehai ni [[molekuli]] za [[mata]] jinsi ilivyo kwa vitu vingine kwa mfano [[udongo]], [[mawe]], [[fuwele]] au [[hewa]]. Kwa upande mwingine mata hii ina mfumo mwenye tabia mbalimbali ambazo kwa pamoja zinaunda uhai kama vile uwezo wa kuzaa, kukua na [[umateboli]] (uwezo wa kujenga au kuvunja kemikali mwilini). Hata kama sayansi haijui kikamilifu uhai ni nini inatambua jumla ya tabia hizi kama dalili za uhai.
 
Kiumbehai inaweza kuwa na [[seli]] moja kama bakteria kadhaa au kuwa na seli mamilioni kama mwanadamu.