Kiumbehai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ kiungo
Masahihisho
Mstari 2:
[[Picha:Elephant-ear-sponge.jpg|thumb|150px|Sifongo ya baharini ni mfano wa viumbehai katika kundi la eukariota]]
 
'''Kiumbehai''' ni kitu ambacho nikilicho hai kama vile [[mtubinadamu]], [[mnyama]], [[mmea]] au [[bakteria]]. Kwa upande mmoja viumbehai ni [[molekuli]] za [[mata]] jinsi ilivyo kwa vitu vingine kwa mfano [[udongo]], [[jiwe|mawe]], [[fuwele]] au [[hewa]]. Kwa upande mwingine mata hii ina mfumo mwenye tabia mbalimbali ambazo kwa pamoja zinaunda uhai kama vile uwezo wa kuzaa, kukua na [[umateboli]] (uwezo wa kujenga au kuvunja kemikali mwilini). Hata kama sayansi haijui kikamilifu uhai ni nini inatambua jumla ya tabia hizi kama dalili za uhai.
 
Kiumbehai inaweza kuwa na [[seli]] moja kama bakteria kadhaa au kuwa na seli mamilioni kama mwanadamu.
Mstari 12:
 
* [[Bakteria]] na
* [[Archaea]] ni viumbehai wenye seli moja wasio na [[kiini cha seli]]; wote wanaitwa pia [[ProkariotaProkaryota]]
* [[Eukaryota]] ni viumbehai wenye kiini cha seli. [[WanayamaMnyama|Wanyama]], [[mmea|mimea]] na [[fungi]] huhesabiwa hapa.
 
Vikundi hivi ni [[domeni]] 3 za [[uainishaji wa kisayansi]].
 
[[Virusi]] ni kitu kati ya kiumbehai na vitukitu visivyokisicho na uhaihai; wataalamu wengine husema ya kwamba haistahili kuitwa "kiumbehai" kwa sababu haiwezi kuzaa pekee yake haina umetaboli wake bali unategemea kuingia ndani ya seli na kutumia nafasi za seli kwa kuzaa kwake.
 
== Viungo vya Nje ==