Mfecane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Mfecane''' (''Kizulu: kutawanyika au kumegeka; kwa Kisotho "Difaqane"'') ni kipindi katika historia ya Afrika ya Kusini kati ya 1815 na 1840. ==Kipindi cha vita na uham...
 
No edit summary
Mstari 10:
Mafanikio ya kijeshi ya Shaka yalisababisha makabila mengine kukimbia yakiingia katika maeneo ya majirani ya kusababisha uhamisho wao. [[Wangoni]] wa eneo la [[Songea]] katika [[Tanzania]] ni kundi mojawapo lililoendelea kukimbia hasira ya Wazulu hadi kufika mbali.
 
Maeneo makubwa hasa katika tambarare za Afrika Kusini yalibaki bila watu kwa sababu vikunduvikundi vingi vilihamia mbali au kukimbilia maeneo ya milima penye usalama zaidi.
 
Mitindo ya kivita ya Kizulu ilinakiliwa haraka na makabila mengine na kipindi cha mfecane kiliona pia kutokea kwa madola mapya yenye nguvu ya kijeshi kama vile Sotho, Swazi na Ndebele.