Australasia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q45256
tahajia
Mstari 1:
[[Image:Australasia.PNG|thumb|350px|Eneo la Australasia jinsi linavyoelezwa mara nyingi]]
'''Australasia''' ni neno la kutaja sehemu ya kusini magharibi ya [[Pasifiki]] inapopakana na [[AsikaAsia ya Kusini]] na [[Bahari Hindi]]. Inatazamiwa kama kanda la [[Australia na Pasifiki]]. Si kawaida sana kimataifa lakini hueleweka hasa Australia na nchi za jirani penyewe.
 
Hasa [[Australia]], [[New Zealand]], [[Guinea Mpya]] na visiwa jirani vya [[Melanesia]] huhesabiwa humo. Wakati mwingine sehemu ya visiwa vya Indonesia vyahesabiwa humo pia.