Australasia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ link marsupialia
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Australasia.PNG|thumb|350px|Eneo la Australasia jinsi linavyoelezwa mara nyingi]]
'''Australasia''' ni neno la kutaja sehemu ya kusini magharibi ya [[Pasifiki]] inapopakana na [[Asia ya Kusini]] na [[Bahari Hindi]]. Inatazamiwa kama kanda la [[Australia na Pasifiki]]<ref>Kamusi ya [[KKS]] inatumia jina hili kwa umbo "Australesia" kwa maeneo yote ya Australia na Pasifiki; hii inaonekana ni kosa kwa sababu Australasia ni sehemu tu ya eneo linaloitwa "Oceania" kwa Kiingereza. </ref>. Si kawaida sana kimataifa lakini hueleweka hasa Australia na nchi za jirani penyewe.
 
Hasa [[Australia]], [[New Zealand]], [[Guinea Mpya]] na visiwa jirani vya [[Melanesia]] huhesabiwa humo. Wakati mwingine sehemu ya visiwa vya Indonesia vyahesabiwa humo pia.
Mstari 11:
 
Timu za Australia na New Zealand ziliwahi kugombea pamoaja kwa jina la "Australasia" kwenye michezo ya Olimpiki na Davis Cup.
 
==Marejeo==
<references/>
 
[[Category:Australia na Visiwa vya Pasifiki]]