Kuhani mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:PLATE4DX.jpg|thumb|right|200px|Kuhani mkuu akisaidiwa na [[Mlawi]].]]
'''Kuhani mkuu''' ni cheo kikuu cha [[kuhani]] katika [[dini]] penyezenye ngazi mbalimbali ya ukuhani. Hasa penyeKwenye ma[[hekalu]] makubwa yenye makuhani wengi, mmoja aliweza kuwa na nafasi ya kiongozi na kuitwa kuhani mkuu.
 
Katika dini za [[Sumeri]], [[Babeli]] na [[Misri ya Kale]] walikuwepo pia makuhani wakuu waliokuwa viongozi wa dini kwa [[ufalme]] wote. Katika Babeli kulikuwa pia na makuhani wakuu wa [[mwanamke|kike]].