Gurudumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Gurudumu''' ni mtambo mwenye umbo la [[duara]]. Linaruhusu gari kutembea; magurudumu yanazunguka na kitu juu yake yanaenda mbele kwa kutumia nguvu kidogo.
 
Gurudumu linapunguza [[msuguano]]; badala ya msunguano wa kitu chote kinachosogea mbele kwenye ardhi kuna msuguano wa sehemu ndogo ya gurudumu na msuguano wa gurudumu kwenye [[ekseli]] yake. Msuguano kati ya ekseli na gurudumu unapunguzwa kwa njia ya kutia mafuta au kuweka [[beringi gololi]] kati ya gurudumu na ekseli.
gurudumu na mhimili.
 
Sehemu kubwa ya usafiri kwenye nchi kavu hutegemea magurudumu kwa mfano [[motokaa]], lori, [[reli]] ya kawaida na [[baisikeli]]. Magurudumu ni pia sehemu kubwa ya machine nyingi.