Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili)"

d
nimebadili neno pepo kwenda pepe
d (nimebadili kuonmgeza kwenda kuongeza)
d (nimebadili neno pepo kwenda pepe)
*Kwa usalama wa wikipedia ni lazima kutaipu herufi zinazoonyehswa katika dirisha dogo chini yake.
*Sasa unaingiza jina (jinsi unavyochagua) na nywila (neno lako la siri) mara mbili.
*anwani pepopepe si lazima; inasaidia kama unapenda kuwasiliana na watumiaji wengine kwa njia hiyo. Unaweza kuiacha na kuongeza baadaye.
*Mwishoni unabofya chini "sajili akaunti"
*Kama jina ulilochagua limeshachukuliwa na mwingine au kama umekosea kutaipu neno la siri mara mbili unaona dirisha unapaswa kuanza upya.