Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili)"

no edit summary
d (nimebadili neno pepo kwenda pepe)
 
===1. Faida za kujisajili===
Lakini kujisajili kunaleta nafasi za nyongeza na faida hasa ukichangia mara kwa mara.
*unapata nafasi zaidi za kuhariri, kwa mfano kama ukurasa umehifadhiwa
*unapata ukurasa wa "Maangalizi yangu" unaosaidia kutazama makala unazopenda kufuatilia.
===2. Kufungua akaunti===
*Hatua ya kwanza ni kubofya kwenye kona ya juu [[Picha:Wikipedia-menyu-kujisajili.png]] na baadaye tena kwa "kujisajili".
*Kwa usalama wa wikipedia ni lazima kutaipu herufi zinazoonyehswazinazoonyeshwa katika dirisha dogo chini yake.
*Sasa unaingiza jina (jinsi unavyochagua) na nywila (neno lako la siri) mara mbili.
*anwani pepe si lazima; inasaidia kama unapenda kuwasiliana na watumiaji wengine kwa njia hiyo. Unaweza kuiacha na kuongeza baadaye.