Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d nimebadili neno majadilano kwenda neno majadiliano |
dNo edit summary |
||
Mstari 4:
Unaweza kuhariri kila ukurasa katika wikipedia yaani kusahihisha, kuongeza habari, kuziondoa au kuzibadilisha. Karibu kila ukurasa una kiungo kinachosema "'''''hariri'''''", ambacho kinakupatia nafasi ya kubadilisha ukurasa unaotazama. ''(Kurasa chache [[Wikipedia:Makala zinazolindwa|zinalindwa]] hazina nafasi hii.)''
Hiki ni kipengele muhimu sana cha Wikipedia, na wote wanaruhusiwa kuhariri. Iwapo unaongeza habari fulani kwenye makala, [[Wikipedia:Mwongozo (Kutaja vyanzo)|tafadhali weka marejeo]], kwa sababu habari zisizo na uthibitisho kuna uwezekano mkubwa wa kuondolewa. Pia ni ushauri mwema kwamba kutafuta majadiliano kwenye ukurasa
Nenda kwa [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]] na ubonyeze kiungo cha "''hariri''". Hii itafungua dirisha la kuhariria lililo na maandishi ya ukurasa huu. Weka kitu cha kujifurahisha au "Salam ulimwengu!", halafu '''Hifadhi kurasa''' na tazama nini ulichofanya! Kuwa mwangalifu kuhakikisha kwamba una hariri ukurasa wa sanduku la mchanga, na siyo maandishi ya ukurasa huu wa mwongozo.
|