Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

d
nimebadili neno unapende kwenda neno unapenda
d
d (nimebadili neno unapende kwenda neno unapenda)
==Kufuatilia kazi yako==
[[Picha:Fuatilia screenshot.jpg|thumb|right|500px|Kitufe cha "Kufuatilia" kipo juu ya makala upande wa kulia kabisa; kitufe cha "maangalizi yangu" kiko juu ya kila dirisha.]]
Labda unapendeunapenda kuangalia makala ulipochangia kwa njia ya kuhariri au makala uliyoanzisha inaendelea jinsi gani kwa njia ya michango ya wengine. Hapa unaweza kubofya juu ya makala inaposema "'''Fuatilia'''". Ukiwa mwanawikipedia aliyejiandikisha makala hii imeingizwa sasa katika orodha yako ya maangalizi. Orodha hii naweza kutazama ukibofya "'''maangalizi yangu'''" na kibonye hiki kiko juu kabisa kwenye kila ukurasa wa wikipedia.
 
{{-}}