Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)"

d
nimebadili neno vipengele kwenda neno kipengele, kwa kuwa ni kipengele kimoja.
d (nimebadili neno unapende kwenda neno unapenda)
d (nimebadili neno vipengele kwenda neno kipengele, kwa kuwa ni kipengele kimoja.)
 
==Onyesha hakikisho==
Moja ya vipengelekipengele muhimu cha kuanza kutumia sasa ni kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko'''. Jaribu kufanya uhariri kwenye [[Wikipedia:Mwongozo (Kuhariri)/sanduku la mchanga|sanduku la mchanga]], halafu bonyeza kitufe cha '''Onyesha hakikisho la mabadiliko''' badala ya '''Hifadhi Kurasa'''. Hii inakuruhusu kuona kurasa itakavyoonekana baada ya kuhifadhi, ''kabla'' hujahifadhi. Wote twafanya makosa; kipengele hiki kinakuonyesha makosa hayo. Kutumia Onyesha Hakikisho la Mabadiliko kabla ya kuhifadhi pia inakuruhusu kujaribu kubadili miundo na maharirio mengine bila ya kupagaranyua historia ya kurasa. Usisahau kuhifadhi maharirio yako baada ya kuhakiki!
[[Picha:kuhariri-muhtasari.PNG|thumb|right|450px|Kitufe cha "Onyesha hakikisho la mabadiliko" kipo upande wa kulia baada ya kitufe cha "hifadhi kurasa" na chini yake ni uga ya "kuhariri muhtasari.]]
==Muhtasari wa kuhariri==