Tofauti kati ya marekesbisho "Yakobo wa Marka"

85 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
d (Bot: Migrating 6 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2716620 (translate me))
(→‎Utume: +img)
 
==Utume==
[[Image:Giacomo - Confessione, circa 1476 - 513846.jpg|thumb|''Confessione'', 1476]]
Mhubiri hodari, alitumwa na shirika lake kupinga [[uzushi]] wa [[Wabogomili]] huko [[Bosnia]] na wa [[Wausi]] huko [[Austria]] na [[Boemia]]; alianzisha [[konventi]] kadhaa katika [[Ulaya]] ya kati, akieneza [[ibada]] kwa [[Jina la Yesu]] na kutetea [[vita vya msalaba]] dhidi ya [[Waturuki]].