Aleksanda wa Hales : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+img
 
Mstari 1:
[[Image:Alexander - Summa universae theologiae - 4316508.tif|thumb|''Summa universae theologiae'']]
'''Aleksanda wa Hales, [[O.F.M.]]''', ([[1185]] hivi - [[21 Agosti]] [[1245]]) aliyeitwa ''Doctor Irrefragibilis'', yaani ''Mwalimu asiyepingika'' (na [[Papa Aleksanda IV]] kati [[hati]] ''De Fontibus Paradisi'') na ''Theologorum Monarcha'' (kwa [[Kilatini]] ''Mfalme wa Wanateolojia'')<ref>Brown and Flores, p.10</ref> alikuwa [[mwanateolojia]] na [[mwanafalsafa]] maarufu katika kustawisha [[Teolojia ya shule]] na [[Shule ya Kifransisko]].