Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tallinn cityview.jpg|thumb|[[Tallinn]], [[mji mkuu]] wa [[Estonia]], ulivyofunikwa na [[theluji]] tarehe [[1 Januari]] [[2010]].]]
[[File:PN Tierra del Fuego (Hiver).jpg|thumb|Theluji kusini mwa dunia: [[Tierra del Fuego]], [[Argentina]].]]
'''Majira ya baridi''' (kwa [[Kiingereza]] '''Winter''') ni mojawapo kati ya majira manne, na [[halijoto]] yake ni ya baridi kuliko majira mengine.majira ya baridi pia huitwa [[kipupwe]]
 
Kwa [[Kiswahili]] majira ya baridi pia huitwa [[kipupwe]].
Pengine baridi inakuwa kali sana na kuendana na [[barafu]]: ndiyo maana maeneo mengine hayana wakazi wa kudumu, hasa [[Antaktiki]].
 
Pengine baridi inakuwa kali sana na kuendana na [[barafubarafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine ya [[dunia]] hayana wakazi wa kudumu, hasa [[bara]] la [[Antaktiki]].
 
Yanafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn") na kutangulia [[majira ya kuchipua]] (kwa Kiingereza "Spring").
 
Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.majira

Majira haya tofauti hupatikana zaidi katika [[ukanda]] wa [[tropiki]] zaidi.
 
==Marejeo==