Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 56:
[[Picha:Bujumbura 29.36607E 3.37443S.jpg|thumb|NASA photo of Burundi]]
 
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko karibu na e[[Nchi za Maziwa Makubwa (Afrika)Makuu|Eneoneo la Maziwa KubwaMakubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa kaskazini, [[Tanzania]] upande wa mashariki, na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa magharibi. Ingawa Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki uko karibu na [[Ziwa Tanganyika]]. Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa lugha ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]].
 
== Jiografia ==
Burundi ni nchi ndogo iliyomo barani [[Afrika]]. Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa] na pia kuna kabila la warundi wanaojinasibu kuwa wao siyo watusi wala wahutu bali ni waswahili, Na hilo kabila la waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndo wenyeji wa jiji la Bujumbura, walimsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Wakazi milioni 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, msongamano wa watu ni wakazi 379 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].
 
Ingawa Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo la mashariki unaishia kwenye mwabao wa [[Ziwa Tanganyika]]. Eneo lote ni nyanda za juu zenye kimo cha mita 1700 [[juu ya UB]] kwa wastani. Sehemu ya juu ni kilele cha [[mlima Heha]] chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika safu ya milima inayopakana na [[bonde la ufa la Afrika ya Mashariki]]. Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya bonde la ufa kenye kimo cha mita 760 -850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa maji ya Ziwa Tanganyika. Upande wa mashariki ya safu la milima inayopakana bonde la ufa kuna chanzo cha [[mto Ruvyironza]] (pia: Luvironza) unaishia katika [[mto Kagera]] na hivyo huhesabiwa kati ya vyanzo vya [[Naili]].<ref>[Klohn, Wulf and Mihailo Andjelic. <nowiki>[http://www.fao.org/ag/AGL/AGLW/webpub/lakevic/LAKEVIC4.htm Lake Victoria: A Case in International Cooperation]</nowiki>. Food and Agriculture Organization of the United Nations. Retrieved on July 20, 2008]</ref>
 
Hali ya hewa ni ya kitropiki kuna vipindi viwili vya mvua. Joto linapungua kutokana na kimo cha nchi. Kuna mvua kwa wastani milimita 1,000 kwa mwaka.
 
Matumizi ya ardhi ni kwa ajili ya kilimo au mifugo. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa [[ukataji wa misitu]], [[mmomonyoko wa ardhi]] na kupotea kwa ardhi yenye rutba<ref><nowiki>[Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]</nowiki></ref>. Eneo la misitu lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya asilimia 9% kwa mwaka<ref><nowiki>[http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates]</nowiki> Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.</ref>. Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na Msitu wa Nyungwe huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na mto Rurubu (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka 1982 kwa shabaha ya kuhifadhi wanyama wa pori<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
 
== Hali ya nchi ==
Burundi ni nchi ndogo iliyomo barani [[Afrika]]. Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa] na pia kuna kabila la warundi wanaojinasibu kuwa wao siyo watusi wala wahutu bali ni waswahili, Na hilo kabila la waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndo wenyeji wa jiji la Bujumbura, walimsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.
 
Kwa orodha ya Marais wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Burundi|hapa]].
 
== Utawala ==
Burundi imegawiwa kwa mikoa 18 ([[far.]] province, [[Kirundi]]: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji penye makao makuu ya utawala.
 
<nowiki>*</nowiki>Angalia [[Mikoa ya Burundi]]
 
Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii megawiwa kwa "collines" (vilima).
 
== Watu na Utamaduni ==