Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
historia
Mstari 81:
 
== Historia ==
===Ufalme wa Burundi==
Dola la kwanza katika eneo hili lilikuwa Ufalme wa Burundi. Katika mapokeo ya wenyeji ulianzishwa katika karne ya 17 na mtu kwa jina la Cambarantama aliyefika ama kutoka Rwanda au kutoka Buha katika [[Mkoa wa Kigoma]], Tanzania ya leo.
 
Line 87 ⟶ 88:
Ufalme huu ulienea katika karne zilizofuata. Mwami Ntare IV Rutaganzwa Rugamba aliyetawala mnamo 1796 hadi 1850 aliweza kupanusha mipaka ya ufalme wake hadi kushika sehemu kubwa ya eno la leo.
 
===Ukoloni===
Wazungu wa kwanza waliofika walikuwa wapelelezi Waingereza [[Richard Burton]] and [[John Hanning Speke]] mnamo mwaka 1854. Walifuatwa na wengine na 1894 Mjerumani wa kwanza alipita hapa aliyekuwa [[Oskar Baumann.]] Wakati ule Ujerumani uliwahi tayari kuanzisha koloni yake ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani lakini Wajerumani walichelewa kufika kwenye kaskazini-magharibi ya maeneo waliyotazama kuwa sehemu yao. Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo 1896 wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha mwakilishi mkazi (resident) ktikakatika mji mkuu [[Gitega]] ambaye hakuhusika na mambo ya utwala wa ndani. SWakati ule eneo lilijulikana kwa jina "Urundi". Hapa sawa na Rwanda na Bukoba Wajerumani walitumia mbinu wa [[eneo lindwa]] ingawa vyanzo wa nyakati zile zinaonyesha ya kwamba walikuwa pia na majadiliano kuingiza falme hizi za kienyeji moja kwa moja ndani ya koloni yao.
 
Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Burundi pamoja na Rwanda ilikabidhiwa kwa Ubelgiji kwa niaba ya [[Shirikisho kwa Mataifa]]. Kimsingi Wabelgiji waliendelea na mfumo wa Wajerumani uliomwacha mtemi mamlaka makubwa.
 
== Utawala ==