Wabena (Tanzania) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 6 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1115893 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Wabena''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] wanaoishi hasa katika [[Mkoa wa Njombe]], [[Wilaya]] za Ludewa,[[Wilaya ya Njombe|Njombe]] na [[Wilaya ya Wanging'ombe|Wanging'ombe]], lakini pia za [[Wilaya ya Makete|Makete]] na Njombe[[Wilaya ya Ludewa]]. Mwaka [[2001]] idadi ya Wabena ilikadiriwa kuwa 670,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=bez].
 
==Lugha==
[[Lugha]] yao ni [[Kibena]]. Kutokana na [[tahariri]] ya Dr. Kilemile ([[2009]]), Kibena ni lugha tajiri sana kwa maneno na ni pana sana ikiwa na [[lahaja]] kuu tano: Ki-Kilavwugi (Maeneomaeneo ya [[Ilembula]]); Kisovi (Kuanziakuanzia [[Lusisi]] hadi [[Makambako]]), Kimaswamu ([[Imalinyi]], Njombe mjini na sehemu ya [[kata]] ya [[Mdandu]]), Ki-Lupembe ([[Lupembe]]) na Kimavemba ([[Uwemba]] na sehemu ya [[tarafa]] ya [[Igominyi]] ambayo si ya Maswamu).
 
Lugha ni moja tu; tofauti ni ndogondogo, zikitokana na matamshi, mfano kukaza "dz", kwa lahaja zote isipokuwa Kikilavwugi ambacho ingawa inaandikwa "dzi" inatamkwa kama "dji" umuhudji; na Kilupembe inaandikwa "dzi" lakini watumiaji wanatamka kama "chi" umuhuchi, achile - amekuja, wakati "adjile" (Kikilawugi)... Wengine wote wanakaza adzile, umuhudzi. Tofauti nyingine ni ya kutumia k na h. Mfano: Kamwene/ Hamwene, Kangi?/hangi, ukukulima/uhulima n.k.
 
[[Suala]] lingine ni tofauti ya baadhi ya maneno mfano: Asubuhi: Lwamilawu/palukela; Kuketi: kwikala/hwikala/ kutama; Chuma mboga: hukova/kukova imboga na huyava/kuyava imboga; Zizi la Ng'ombe: Ligoma na livaga; nyumbani: hukaye na hunyumba; habari za kazi: mwidaliha na madzengo nkn.k.
 
[[Kamusi]] inatakiwa kujumuisha maneno yote yanayohitilafiana na kudokeza yanakotumika. Maana kamusi ni [[kihenge]] cha lugha. Hivyo kuita kamusi yale maneno machache ya Kibena aliyoorodhesha Dr. Joshua ni [[dhihaka]] kwa lugha hii ambayo ni tajiri mno kwa misamiati.
Kwa mfano neno kupiga tu lina maneno zaidi ya 100 yakionyesha huyo aliyepigwa amepigwa wapi na ku-suggestkudokeza hali yake baada ya kupigwa. Pia huashiria hali ya mpigaji. Mfano: (tumia) "k" au "h" kutokana na eneo unalotoka: hutova (general) lakini: hupafula (kiganja), hupefula (nyuma ya kiganja), hututa, hukinya, hung'ilula; hung'alula, hutununa, huwindula, hupwinda, hupana, hulibinga, hufidula, hutadisa, hugong'ola, huniabula, hukinya, huhudugula, huniesa n.k.
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}