Ubaguzi wa rangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 94 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8461 (translate me)
mifano zaidi
Mstari 3:
Wakati wa ukoloni, rangi ilitumika kama msingi wa utoaji huduma muhimu mfano: shule, matibabu na haki nyingine za kibinadamu. Rangi nyeusi ilipewa hadhi ya chini zaidi.
 
Siku hizi katika karibu [[nchi]] zote, [[sheria]] zinapinga ubaguzi wa rangi. Lakini katika nchi nyingi bado kuna wabaguzi wachache ambao wanavunja sheria kwa kuendelea kubagua. Kwa mfano, kuna wabaguzi wanaobagua [[Watu weusi]] nchini [[Marekani]], nchini China, nchini India na katika nchi za [[Ulaya]].
 
== Viungo vya nje ==