Mto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
→‎Beseni: nyongeza
Mstari 26:
 
== Beseni ==
Jumla ya eneo ambako tawimito yote hatahadi vijito asilia kabisa zinaanza na kupokea maji yao huitwa [[beseni ya mto]]. Sehemu kubwa ya Tanzania ya kaskazini-magharibi pamoja na Kenya magharibi ni sehemu ya beseni ya [[Nile]] kwa sababu matone ya mvua kama yanafika mtoni yote huelekea ziwa [[Viktoria Nyanza]] na kuingia mto Nile kwenda bahari ya [[Mediteranea]].
 
Sehemu kubwa zaidi ya Afrika ya Mashariki inapeleka maji kwenda beseni za [[Rufiji (mto)|Rufiji]], [[Ruvuma (mto)|Ruvuma]], [[Ruaha Mkuu]] au [[mto Tana]] ambayo yote inaishia katika Bahari Hindi.
 
Mipaka kati ya beseni huitwa [[tengamaji]]. Tengamaji kwa kawaida ni eneo la juu ambako upande moja maji hutelemka kuelekea beseni moja na upande mwingine kwenda beseni tofauti. Kwa mfano tengamaji kati ya beseni za Ruaha Mkuu na [[Mto Zambezi]] (kupitia [[Ziwa Nyasa]]) inafuata milima ya [[Uporoto]] na [[Kipengere]].
 
== Mito katika dura ya maji duniani ==