74,258
edits
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko katika [[Nchi za Maziwa Makuu|eneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].
Burundi ni mwanachama wa [[Umoja wa Afrika]] na wa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]]
==Jina==
|