===Ukoloni===
[[Wazungu]] wa kwanza waliofika walikuwa [[wapelelezi]] [[Waingereza]] [[Richard Burton]] na [[John Hanning Speke]] mnamo mwaka [[1854]]. WalifuatwaLakini nahabari wengineza nafalme mwakakwenye [[1894]]eneo [[Mjerumani]]kati waya kwanzamaziwa alipitamakubwa hukohazikuenea aliyekuwa [[Oskar Baumann]]sana. Wakati ulewa [[Ujerumani]]Mkutano uliwahiwa tayariBerlin kuanzishaWajerumani [[koloni]]hawakujua lakeya lakwamba [[Afrikafalme yaza MasharikiBurundi ya Kijerumani]]na lakiniRwanda Wajerumanizilikuwepo walichelewandni kufikaya kaskazini-magharibieneo mwawaliotegemea maeneo waliyotazamakutwaa. kuwaWaliitambua sehemubaadaye yaotu.
Mwaka [[1894]] [[Mjerumani]] wa kwanza alipita Burundi aliyekuwa [[Oskar Baumann]]. Wakati ule [[Ujerumani]] uliwahi tayari kuanzisha [[koloni]] ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] lakini Wajerumani walichelewa kufika kaskazini-magharibi mwa maeneo waliyotazama kuwa sehemu yao.
Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo [[1896]] wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha katika [[mji mkuu]] [[Gitega]] mwakilishi mkazi (resident) ambaye hakuhusika na mambo ya utawala wa ndani. Wakati ule eneo lilijulikana kwa jina "Urundi". Hapa sawa na Rwanda na [[Bukoba]] Wajerumani walitumia [[mbinu]] ya [[eneo lindwa]] ingawa vyanzo vya nyakati zile zinaonyesha ya kwamba walikuwa pia na majadiliano kuingiza falme hizi za kienyeji moja kwa moja ndani ya koloni lao.
▼
▲Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo [[1896]] wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha
mwakilishi mkazi (resident) katika [[mji mkuu]] [[Gitega]]
mwakilishi mkazi (resident) ambaye hakuhusika na mambo ya utawala wa ndani. Wakati ule eneo lilijulikana kwa jina "Urundi". Hapa sawa na Rwanda na [[Bukoba]] Wajerumani walitumia [[mbinu]] ya [[eneo lindwa]] ingawa
vyanzo vya nyakati zile zinaonyesha ya kwamba walikuwa pia na majadiliano kuingiza falme hizi za kienyeji moja kwa moja ndani ya koloni lao.
Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] Burundi pamoja na Rwanda ilikabidhiwa kwa [[Ubelgiji]] kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]]. Kimsingi Wabelgiji waliendelea na mfumo wa Wajerumani uliomwachia mtemi [[mamlaka]] kubwa.