Uswidi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 58:
}}
 
'''Uswidi''' (au: '''Sweden'''; '''Swideni'''; kwa [[Kiswidi]]: "Sverige") ni nchi ya [[Skandinavia]] katika [[Ulaya ya Kaskazini]]. Imepakana na [[Ufini]] (Finland) na [[NorwayNorwei]].
 
Ina [[pwani]] ndefu kwenye [[bahari ya Baltiki]]. Kuna daraja la kuvukia [[mlango wa bahari]] ya [[Oresund]] ya kuunganisha Uswidi na [[Denmark]].