Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
45,400
edits
(→Ukoloni: nyongeza historia) |
(→Ukoloni: kiungo) |
||
===Ukoloni===
[[Wazungu]] wa kwanza waliofika walikuwa [[wapelelezi]] [[Waingereza]] [[Richard Burton]] na [[John Hanning Speke]] mnamo mwaka [[1854]]. Lakini habari za falme kwenye eneo kati ya maziwa makubwa hazikuenea sana. Wakati wa [[Mkutano wa Berlin 1885]] Wajerumani hawakujua ya kwamba falme za Burundi na Rwanda zilikuwepo ndni ya eneo waliotegemea kutwaa. Waliitambua baadaye tu.
Mwaka [[1894]] [[Mjerumani]] wa kwanza alipita Burundi aliyekuwa [[Oskar Baumann]]. Wakati ule [[Ujerumani]] uliwahi tayari kuanzisha [[koloni]] ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] lakini Wajerumani walichelewa kufika kaskazini-magharibi mwa maeneo waliyotazama kuwa sehemu yao.
|