Sekta ya viwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Marejeo ya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|eu}} using AWB (10903)
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
'''Sekta ya viwanda''' ni sehemu muhimu ya [[uchumi]] wa kisasa ambako [[bidhaa]] zinatengenezwa kwa wingi kwa kutumia [[mashine]] na michakato maalumu.
 
Viwanda huhesabiwa kati ya shughuli za sekta ya upili ya uhumi kwa jumla ambako malighafi zinabadilishwa kuwa bidhaa, kwa mfano [[chuma]] kuwa [[feleji]] na vifaa mbalimbali au [[pamba]] kuwa [[kitambaa]] na [[nguo]]. Viwanda si sehemu ya pekee ya sekta ya upili kwa mfano kuna mafundi wanaotengeneza pia bidhaa kutokana na malighafi kwa mfano wahunzi au wafumaji. [Url|Viwanda.de|viwanda]
hutumia zaidi mashine, hupanga michakato yake kikamilifu na kutoa bidhaa zisizosanifishwa kwa wingi kabisa.
 
== Aina za viwanda ==