Sekta ya viwanda : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 2:
'''Sekta ya viwanda''' ni sehemu muhimu ya [[uchumi]] wa kisasa ambako [[bidhaa]] zinatengenezwa kwa wingi kwa kutumia [[mashine]] na michakato maalumu.
Viwanda huhesabiwa kati ya shughuli za sekta ya upili ya uhumi kwa jumla ambako malighafi zinabadilishwa kuwa bidhaa, kwa mfano [[chuma]] kuwa [[feleji]] na vifaa mbalimbali au [[pamba]] kuwa [[kitambaa]] na [[nguo]]. Viwanda si sehemu ya pekee ya sekta ya upili kwa mfano kuna mafundi wanaotengeneza pia bidhaa kutokana na malighafi kwa mfano wahunzi au wafumaji.
== Aina za viwanda ==
|