Eneo la kudhaminiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
Mstari 1:
[[Picha:League_of_Nations_mandate_Middle_East_and_Africa.png|thumb|300px380px|'''Maeneo ya kudhaminiwa''' <br /> 1 Syria (Ufaransa) - 2 Lebanon (Ufaransa) – 3 Palestina (Uingereza) – 4 Ng’ambo ya Yordani (Uingereza) - 5 Irak ((Uingereza) - 6 Togo (Uingereza) - 7 Togo (Ufaransa) – 8 Kamerun (Uingereza) - 9 Kamerun (Ufaransa) - 10 Ruanda-Urundi (Ubelgiji) - 11 Tanganyika (Uingereza) - 12 Afrika ya Kusini-Magharibi (Afrika Kusini)]]
'''Eneo la kudhaminiwa''' lilikuwa eneo lililokabidhiwa na umma wa kimataifa mkononi mwa nchi iliyotakiwa kulisimamia. Maeneo haya yalianzishwa mwaka 1919 katika [[Mkataba wa Versailles]] uliounda [[Shirikisho la Mataifa]] lililokuwa mtangulizi wa [[Umoja wa Mataifa]] wa leo.