Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

2 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
→‎Uhuru: fomati
(→‎Uhuru: fomati)
Tangu 1946 Shirikisho la Mataifa lilikwisha na Ubelgiji ilipokea wito wa kutawala Ruanda-Urundi na [[Umoja wa Mataifa]].
 
=== Uhuru ===
Mwaka 1 kabla ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi ya [[UM]] na chama mshindi ilikuwa UPRONA iliyoongozwa na mwanamfalme Mtutsi [[Louis Rwagasore]] aliyemwoa mke wa Kihutu na chama kiliunganisha pande zote mbili. Lakini miezi michache Rwgasore aliuawa na chama chake kilitengana kufuatana na ukabila.