Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 130:
 
=== Uhuru ===
Mwaka 1moja kabla ya uhuru kulikuwa na uchaguzi wa kwanza chini ya usimamizi ya [[UM]] na chama mshindi ilikuwakilikuwa UPRONA iliyoongozwakilichoongozwa na mwanamfalme Mtutsi [[Louis Rwagasore]] aliyemwoa mke[[mwanamke]] wa Kihutu na chama kiliunganisha pande zote mbili. Lakini miezi michache Rwgasorebaadaye Rwagasore aliuawa na chama chake kilitengana kufuatana na ukabila.
 
Mwaka [[1962]] Umoja wa Mataifa uliamua kuipa Ruanda-Urubdi uhuru kamili, lakini kila nchi pekee.
 
Baada ya uchaguzi wa [[1965]] mapigano yalitokea kwa [[silaha]], na kikundi cha Watutsi wakali kilichukua serikali.

Mwaka [[1966]] mwami alipinduliwa na mwanasiasa [[Michel Micombero]] aliyejitangaza kuwa rais na nchi kuwa [[jamhuri]]. Kuanzia sasahapo wanasiasa na watumishi wakubwa walio wahutuWahutu walifukuzwa, kukamatwa au kuuawa.
 
== Utawala ==