Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

334 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
 
== Jiografia ==
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Eneo lote ni 27,834 km² pekee.<ref>Kama Burundi ingekuwa Mkoa wa Tanzania, ingekuwa kwenye na nafasi ya 14 kwa ukubwa, maana ni ndogo kuliko Mkoa wa Pwani na kidogo kubwa kuliko Mkoa wa Tanga; kama ingekuwa wilaya ya Kenya ingekuwa na nafasi ya sita kwa eneo maana ni ndogo kuliko Wilaya ya Mto Tana na kubwa kuliko Mandera.</ref> Wakazi [[milioni]] 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, [[msongamano]] wa watu ni wakazi 314.3 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].
 
Ingawa Burundi haina [[bahari]], sehemu ya [[mpaka]] wake eneo la mashariki unaishia kwenye [[mwambao]] wa [[Ziwa Tanganyika]].