Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Changed content by translating it into real kiswahili language
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Fixed hypo abd keep clear translation in kiswahili language
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 72:
Mji mkubwa ni Johannesburg. Wajibu wa mji mkuu yamegawiwa kwa mji mitatu: [[Cape Town]] ni makao ya [[Bunge]], [[Pretoria]] ni makao ya [[Serikali]] na [[Bloemfontein]] ni makao ya [[Mahakama Kuu]].
 
Nchi ina majina rasmi 11 kutokana na lugha rasmi 11., NdizoNazo ni [[Kiafrikaans]], [[Kiingereza]], [[Kizulu]], [[Kixhosa]], [[Kiswati]], [[Kindebele]], [[Kisotho cha Kusini]], [[Kisotho cha Kaskazini]], [[Kitsonga]], [[Kitswana]], [[Kivenda]].
 
Kati ya watu mashuhuri sana wa Afrika Kusini ni [[Nelson Mandela]] aliyekuwa rais kati ya [[1994]] hadi [[1999]]. Wengine ni [[Christiaan Barnard]] (daktari wa kwanza duniani aliyehamisha moyo wa mtu kwa mtu mwingine) na [[Shaka Zulu]] aliyekuwa kiongozi wa kijeshi kabla ya ukoloni.