Open main menu

Changes

No change in size, miaka 4 iliyopita
+img
[[Image:Mondino - Anathomia, 1541 - 3022668.tif|thumb|[[Mondino dei Liuzzi]], ''Anathomia'', 1541]]
'''Anatomia''' (kutoka [[Kigiriki]] ἀνατέμνειν ''anatemein - kupasua, kufungua'') ni elimu ya [[mwili|miili]] ya [[viumbehai]] kama [[binadamu]], [[wanyama]] na [[mimea]]. Inachungulia muundo na maumbile ya mwili na sehemu au viungo vyake.